Mwanamitandao maarufu na mtangazaji wa kipindi cha mashamsham cha Wasafi FM @jumalokole_02 ametangaza kuacha kazi na kudai siku ya kesho itakua siku yake ya mwisho kutangaza kwenye kipindi hicho.
@jumalokole_02 amedai kuwa amefikia maamuzi hayo ili kuepusha mambo yasiwe mabaya zaidi kutokana na yanayoendelea baina yake na nyota wa muziki kutoka record label ya Wasafi @officialzuchu