Kocha Azam: Siwezi Kukubali Kufungwa na Simba Mara ya Pili

Kocha Azam


“Kudondosha pointi mzunguko wa kwanza haina maana tumeshakata tamaa. Bado tuna nafasi na ukizingatia washindani wetu tuna mechi nao mzunguko huu wa pili hatuwezi kufanya makosa kudondosha tena dhidi yao hasa kwa Simba ambayo ilitufunga mzunguko wa kwanza,”

“Ukitaka kushinda taji usikubali kuwa mnyonge mbele ya mshindani wako.Pointi nne ambazo wapo mbele yetu vinara wa ligi tatu tutazichukua kwao na upande wa mabingwa watetezi pia ambao wanapambania kutetea taji lao tutahakikisha tunaendelea tulipoishia.”

- Rachid Taoussi, Kocha mkuu wa klabu ya Azam fc.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad