Aliekua kocha wa zamani wa Yanga Sc Nasreddine nabi amesema amehusika kwenye Derby nyingi sana za Afrika.Lakini Soweto derby ni kubwa zaidi ambayo inapatikana South Africa Kaizer Chiefs na Orlando Pirates kama ilivyokua kwa Simba na Yanga.
Watani wa Jadi mnakubaliana na kocha yupo sawa? Au anatetea ugali wake tu?