“Aina yangu ya uchezaji wengi wanaijua ni kuwafanya wapinzani wakose muda na nafasi (Time and Space).”
“Hatutaki kuwapa muda na nafasi wapinzani kwa sababu itakua ngumu kwetu kuwa salama”.
“Aina hii ua uchezaji inahitaji utimamu mkubwa na mwili pamoja na akili”.
“Bado hatupo katika level ambayo naihitaji lakini kwa wiki 4 hizi inaanza kuonekana inavyofanya kazi”.
“Wachezaji wanaendelea vizuri na wanajiandaa vizuri na tupo katika njia sahihi mpaka sasa”.
Saed Ramovic - Kocha Mkuu Yanga Sc