Kocha Yanga Afunguka "Chama na Max Sina Haraka Nao"

Kocha Yanga Afunguka "Chama na Max Sina Haraka Nao"


 “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad