Komasava ya Diamond Yashika Namba 20 Nyimbo Bora Africa


Taarifa iliyotolewa na Jarida maarufu duniani linalotoka Marekani la Rolling Stones inaeleza kuwa, wimbo wa @diamondplatnumz KOMASAVA umeshika namba 20.

Wimbo huo umeshika namba 20 katika nyimbo 40 bora barani Afrika kwa Mwaka 2024.

Extra Pressure ya @bensoulmusic na @bienaimesol kutoka Kenya ipo namba 7.

Katika orodha hiyo nyimbo 10 bora 2024 ni hizi hapa.

1. LOVE ME JEJE ya TEMS
2. OZEBA ya REMA
3. JUMP by TYLA FT GUNNA & SKILLIBENG
4. AYA NAKAMURA FT AYRA STARR & HUPE
5. TitoM, Yuppe, and Burna Boy feat. S.N.E, ‘Tshwala Bam (Remix)’
6. Tiakola, ‘Psychologique’
7. Bensoul and Bien, ‘Extra Pressure’
8. Kabza De Small & Mthunzi feat. Young Stunna, DJ Maphorisa, Sizwe Alakine & Umthakathi Kush, ‘Imithandazo
9. Tam Sir feat. Team Paiya, Ste Milano, Renard Barakissa, Tazeboy, PSK, ‘Coup du Marteau’
10. Ayra Starr, ‘Lagos Love Story’

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad