FAMILIA LEO INAKIWASHA MECHI YA UFUNGUZI
Wenyeji wa michuano ya Kombe la Mapinduzi, Zanzibar Heroes na Kilimanjaro Stars saa 2:15 usiku wa leo Januari 3, 2025 watashuka katika Dimba la Gombani, Pemba kucheza mchezo wa ufunguzi wa michuano hiyo.