Kwa Hali Hii Wananchi Salama Yao ni Kushinda Mechi Zao Zote Zilizosalia

Kwa Hali Hii Wananchi Salama Yao ni Kushinda Mechi Zao Zote Zilizosalia


TP Mazembe imeaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya MC Alger kwenye mchezo wa raundi ya tano wa Kundi A huku wakiendelea kusalia mkiani wa msimamo wa Kundi hilo pointi 2 baada ya mechi tano.

Kipigo cha Mazembe ambayo itakamilisha ratiba dhidi ya Al Hilal kinaiweka Yanga Sc ya Tanzania kwenye wakati mgumu zaidi wa kufuzu hatua ya robo fainali ambapo watatakiwa kushinda mechi zote mbili zilizosalia ili kufuzu tena kwa kuifunga MC Alger zaidi ya magoli matatu kwenye mchezo wa mwisho.

FT: Mc Alger 🇩🇿 1-0 🇨🇩 TP Mazembe

⚽ 36’ Akram Bouras (P)


MSIMAMO KUNDI A

1. 🇸🇩 Al Hilal — mechi 4 — pointi 10

2. 🇩🇿 MC Alger — mechi 5 — pointi 8

3. 🇹🇿 Yanga Sc — mechi 4 — pointi 4

4. 🇨🇩 TP Mazembe — mechi 5 — pointi 2

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad