Lema Alipuka Mbowe Kusema "Amewatengeneza Yeye na Tundu Lissu"

Lema Alipuka Mbowe Kusema "Amewatengeneza Yeye na Tundu Lissu"


Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial ambaye pia ni Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho Kanda ya Kaskazini Godbless Lema @godblessjlema1 amekataa kauli ya kuwa yeye pamoja na Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Tundu Lissu wametengenezwa mpaka kuwa maarufu na Mwenyekiti Freeman Mbowe.


Lema amesema kuwa yeye na Mwenyekiti walifanya kazi ya pamoja na walikuwa na malengo ya pamoja ya kuikuza taasisi hivyo hakuna namna Mwenyekiti amemtengeneza yeye kuwa mashuhuri wala Lissu bali walifanya kazi pamoja ikawafanya kuwa mashuhuri.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad