Ligi Kuu ya Tanzania Yashika Nafasi ya Nne Ligi Bora Afrika

Ligi Kuu ya Tanzania Yashika Nafasi ya Nne Ligi Bora Afrika



Shirikisho la Kimataifa ambalo linajihusisha na kutoa Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza @ligikuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya nne (4) kwa ubora barani Afrika na ya 57 duniani kwa mwaka 2024.

NBC PL imepanda kwa nafasi mbili (2) kutoka nafasi ya sita (6) mwaka 2023 ikizipiku Ligi za Afrika Kusini na Tunisia.

1. Nile Premier League — Egypt
2. Botola Pro League — Morocco
3. Ligue 1 — Algeria
4. NBC Premier League — Tanzania
5. Ligue 1 Pro — Tunisia
.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad