Lissu: Mbowe Amekifanya Chama Cha Chadema Kuwa Kikubwa Kuliko CCM


“Mwenyekiti wetu [Freeman Mbowe] alipochukua hiki [CHADEMA], chama kilikuwa na wabunge watano, amekipeleka mpaka kikawa chama kikuu cha upinzani, amekipeleka kikaunda kambi rasmi ya upinzani bungeni aliyoiongoza kwa miaka 10, amekifanya kuwa chama kikubwa kuliko pengine CCM.” – Tundu Lissu, Mwenyekiti CHADEMA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad