Maskini Bondia Aliyefariki Ulingoni Alilipwa Elfu 60


Moja kati ya walezi wa familia ya bondia Hassan Mgaya, ambaye pia alisimama kama msemaji wa familia, ametoa maelezo ya kusikitisha kufuatia kifo cha bondia huyo ulingoni.

Amesema kuwa malipo ya mwisho aliyopaswa kupewa bondia Hassan kwa pambano lake yalikuwa kiasi cha shilingi elfu 60 tu.

Kauli hiyo imeibua hisia kali, huku wengi wakitoa maoni kuhusu changamoto za maisha ya wanamichezo nchini na thamani ya kazi yao.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad