Mawakili Wacharuka Wataka Kesi ya Dkt. Willbroad Slaa Ifutwe....

Mawakili Wacharuka Wataka Kesi ya Dkt. Willbroad Slaa Ifutwe....


Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Januari 24.2025 shauri lililofunguliwa Mahakamani hapo na Mwanaharakati Dkt. Willbroad Slaa dhidi ya Jamhuri, akiiomba Mahakama hiyo kufuta kesi ya jinai aliyofunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kutokana na kile anachodai kuwa kesi hiyo haijakidhi matakwa ya kisheria na Kikatiba limesikilizwa


Mawakili wa Dkt. Slaa wakiongozwa na Peter Madeleka @PMadeleka, Hekima Mwasipu, Mwanaisha Mndeme @Mwanaishamndeme, Edson Kilatu, Paul Kisabo @Advocate_Kisabo na wengineo wameieleza Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam ni kwa namna gani mteja wao amekuwa akisota rumande kwa muda mrefu bila kupatiwa dhamana huku wakitumia jukwaa hilo kueleza wasiwasi wao kwamba huenda 'danadana' zinazoendelea kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu zina 'maelekezo'

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad