Mbowe Afunguka: Chadema ni Mpango wa Mungu



"Hapa tulipofika leo tusifikiri ni juhudi ya mtu mmoja, ni juhudi ya sisi wote (CHADEMA) ambao leo tuko kwenye madaraka na wale ambao wameshatoka kwenye madaraka, walioko ndani ya ukumbi wa Mlimani na waliioko nje ya ukumbi wa Mlimani, chama hiki kimejengwa hatua kwa hatua, tumefika hapa kwa sababu Mungu alipenda tuwe hapa ndio sababu chama hiki siku zote tunasema ni mpango wa Mungu kwa sababu ya mishale na mapito yote tuliyopitia" -Mbowe


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad