Katika kuwania kwa mara nyingine Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amempendekeza Boniface Jocob ‘Boni Yai’ kuwa Wakala wake kwenye kuhesebu kura zake katika Mkutano Mkuu wa chama hicho unaofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
…
Mpaka sasa zoezi linaloendelea ni uhakiki wa wajumbe, kabla ya kuanza kupiga kura.