"Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA @chadematzofficial uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu @tunduantiphaslissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la uongozi wa chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu." Andiko la Freeman Mbowe @freemanmbowetz kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X.
Mbowe Awapongeza Tundu Lissu na Heche Kwa Ushindi Wao
0
January 22, 2025
Tags