Mbowe: Nimeanzisha Chadema Nikiwa Kijana Mdogo wa Miaka 30


Mbowe: Nimeanzisha Chadema Nikiwa Kijana Mdogo wa Miaka 30




"Mimi nilikuwa miongoni kwa waanzilishi wa CHADEMA. Kipindi hicho nilikuwa mdogo sana kati ya watu 10 tulioanzisha Chama hiki. Nilikuwa na umri wa miaka 30.

"Nilikuwa nafanya biashara na familia yetu ilikuwa ya Wafanyabiashara na Mzee wangu baada ya vuguvugu la Uhuru alikuwa kwenye siasa aligombea ubunge 1965 alikuwa rafiki wa karibu na Mwl Julius Nyerere. Sisi familia yetu ilikuwa ikifanya biashara kabla ya uhuru wa nchi yetu.

"Niliingia kwenye siasa nikawa nafanya vyote, siasa na biashara"- Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad