Mchezaji Jean Baleke Atimkia Klabu ya Amazulu



Klabu ya Amazulu imeanza mazungumzo na TP Mazembe ili kuinasa saini ya mshambuliaji,Jean Baleke ambaye alikuwa akiitumikia Young Africans kwa mkopo.

Amazulu wamehamia kwa Baleke baada ya kuikosa saini ya FRANK Ssebufu raia wa Uganda ambaye alikuwa akiitumikia New York Redbull II ya MLS.

Inaelezwa kuwa TP Mazembe wanahitaji angalau Dolan 80,000 ili kumuachia jumla Jean Baleke ambaye aliwahi kuitumikia klabu ya Simba pia ya Tanzania.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad