Kwa majina naitwa Amani Kamau kutokea Lindi, Tanzania, ni mama wa watoto wanne kwa sasa, nimekaa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka nane, kwa kipindi chote nimekumbana na changamoto nyingi sana ambazo zimeacha kovu katika moyo wangu.
Nakumbuka mimi na mume wangu tulianza kugombana pindi nilipojifungua mtoto wangu wa tatu, mume wangu alionekana kutokuwa na furaha kama ambavyo ilikuwa kwa watoto wetu wa mwanzo.
Unajua hakuna jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani ya ndoa imeacha majeraha makubwa sana katika nyoyo za watoto.
Binafsi nilishindwa kuelewa nini tatizo, mwanzo nilihisi labda kuna mambo ya kazini yanamsumbua lakini nikaja kugundua sio kweli mara baada ya kuambiwa na moja ya marafiki zangu kuwa mume wangu amesema mtoto huyo sio damu yake.
Ni suala ambalo liliniumiza sana kiasi ambacho nilianza kulia machozi, kama ni hivyo kwanini asingeongea na mimi kwanza, kwanini akanitangaze huko nje.
Aliporejea nyumbani sikutaka hata salamu yake, hapo hapo nilimuuliza kuhusu jambo hilo na akasema ameongea ukweli kabisa.
"Ni kweli mimi ndiye nimeongea maneno hayo, kwani wewe unaona huyo mtoto kafana na mimi kama hawa wengine?, naona ulikuwa na mchepuko nje na ndio umeamua kuzaa naye mtoto huyo," aliniambia mume wangu.
Kusema kweli ugomvi ulikuwa mkubwa kiasi kwamba hadi majirani waliingilia kati, nilikuwa mwenye hasira maana jambo hilo lilikuwa sio la kweli, hadi wazazi waliingilia kati lakini hakuna suluhu iliyopatikana.
Mwisho wa siku ukoo uliamua kila mmoja alale chumba chake maana hatuwezi kutengana tukiwa tayari tuna watoto wengine, walijua tukiendelea kuishi hivyo kuna tutapatana.
Licha ya kulala kila mtu chumba chake, bado migogoro ndani haikuisha, mume wangu alionekana kumtenga sana huyu mtoto wa mwisho kiasi kwamba roho yangu iliniuma sana.
Mgogoro huu uliendelea hadi mtoto huyu anafikisha miaka mitano, ndipo nikachoka nikaamua kwenda kufungua kesi mahakamani ili ukweli uwekwe wazi na nafasi yangu iwe huru maana nimechoka maneno ya kashfa.
Mahakama iliamuru Baba na mtoto wakapimwe DNA, baada ya vipimo majibu yalionyesha mume wangu ni Baba halali kabisa wa mtoto huyu anayesema sio wake.
Hata hivyo, mume wangu hakuridhika na majibu hayo na kusema si ya kweli jambo ambalo sikutegemea, nilidhani baada ya vipimo mambo yatakuwa shwari.
Basi nakumbuka siku moja nikiwa ofisini nilichukua gazeti nililolikuta juu ya meza yangu na kuanza kulipitia, ndipo nilipokutana na Dr Bokko ambaye naweza kusema ndiye ameiponya ndoa yangu na kurejesha furaha iliyopotea kwa miaka sita.
Tangazo lake gazetini lilieleza kuwa anaweza kusuluhisha migogoro ya ndoa ndani ya siku chache tu, nilishawishika kuchukua namba yake ambayo ni +255618536050, niliwasiliana naye na kumueleza kila kitu ambacho kinanisumbua.
Hadi sasa nikiri kuwa tangu tangu nimewasiliana naye, ugomvi ndani ya nyumba umeisha kabisa, na mume wangu aliamua kuitisha kikao cha ukoo na kuomba radhi kwa yote yaliyotokea na kukiri kuwa yule ni mtoto wake halali kabisa.
Nakumbuka siku niliyozungumza na Dr Bokko aliniambia kuwa anaweza kumrudisha mume, mke au mpenzi aliyeondoka kwako, kukusaidia kumpata mume au mke, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kupandisha cheo na mshahara kazini n.k.