"Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza, Wenje mnaweza mkazungumza na mambo yakaenda na mkapeleka nchi yenu mbele."
"Lakini wale jamaa wawili (Tundu Lissu na John Heche), Mkurya wa Mara na huyu jamaa wa Singida mtani wake wakikaa pamoja ni hatari. Lazima tuwe wakweli ujio wa John Heche sio jambo dogo, kwahiyo combination (muungano/umoja) ya Lissu na Heche lazima huku CCM tutafakari sana kwa sababu ya misimamo yao, Mbowe na Wenje misimamo yao ya kawaida." - Musiba.
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).