Musiba "Tundu Lissu Afai Kuwa Mwenyekiti wa Chadema, ni Mkweli Mno"
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu @TunduALissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa ."Unapokuwa kiongozi,hutakiwi kuwa mkweli kwa kiwango alichonacho Tundu Lissu"