Mwanamuziki wa Tanzania, Angela Konde Gang, ambaye alijipatia umaarufu akiwa chini ya lebo ya Konde Gang, ametangaza rasmi kuachana na muziki wa Bongo Fleva. Katika ujumbe aliouchapisha kupitia instastory, Anjela alieleza kuwa amefikia uamuzi wa kurudi madhabahuni kwa Mungu. "Bye Bye bongofleva hatautaonana tena tena 💔 Narudi madhabahuni pa Mungu ❤️",ameandika.
Mwanamuziki Angela Konde Gang Atangaza Kuacha Muziki wa Bongo Flava
0
January 01, 2025
Tags