Huu utatu anaitendea haki “Heavy metal football” ya Ramovic
Huu utatu una kasi,ujuzi,uthubutu,nguvu ya kukimbia na kufanya pressing kisha unafunga na ku-assist
Huu utatu umegeuka shubiri kwa wapinzani
Kwenye mechi 5 za mwisho za Yanga huu utatu amefunga goli 14 kati ya 19 zilizofungwa na timu nzima
Halafu unaambiwa Maxi na Chama wamerejea….unaanza kujiuliza nani atakaa benchi kumpisha mwenzake🫢
Ukisikia maana halisi ya kikosi kipana basi ndio hii
Hans Rafael