A hunter who can not miss,muite Mzize au Drogba wa Bongo.
Chuma kiko kwenye form ya maisha,chuma kimeweka goli 6 na assist 1 kwenye mechi 4 zilizopita🙌
Pamoja na umri mdogo wa miaka (20) lakini bado ameonyesha calmness,fearlessness,willingness na Relentlessness……muda wote aliwapelekea moto TP bila hofu yeyote
Nimependa magoli yote mawili,bao la kwanza ni “screamer” kutoka mbali,kipa hakuwa na chance maana mpira ulikuwa na power ya kutosha,bao la pili the pass,the movement na finish ilikuwa Top🙌
Aisee nimeanza kuelewa kwanini Yanga walikataa Bilions of money kutoka Wydad
This Dude Is cooking🔥