Nilijua Wangu Pekee Yangu Kumbe Mume wa mtu

Nilijua Wangu Pekee Yangu Kumbe Mume wa mtu

 Nilijua wangu pekee yangu kumbe mume wa mtu! 

Jina langu ni Celini, ni binti mrembo wenye umri wa miaka 25, naishi Dar es Salaam, Tanzania, nina elimu ya Chuo Kikuu nikiwa nimebobea upande wa Rasilimali Watu (HR), nimeajiriwa toka mwaka 2016. 

Tangu nasoma shule msingi hadi upili sikuwahi kuwa na mahusiano yoyote kwani nilijituma katika masomo, mwanaume wangu wa kwanza nilikutana naye Chuo Kikuu, nilimpenda sana.

Naye alionyesha kunipenda na kunijali, lakini kweli ni kwamba alikuwa na mke ambaye alikuwa anaishi nje ya Chuo. 

Nilishtuka pale ambapo kila wikiendi ambapo nilitegemea mimi na yeye tutakuwa pamoja tukitoka na kwenda kufurahi, yeye aliniaga na kuniambia anaenda nyumbani kwao mara moja na atarejea Jumapili jioni. 

Hali ile nilikuwa siipendi kwani rafiki zangu wakati huo ndio walikuwa wanatoka na wapenzi wao, nami nilitamani sana hali ile itokee katika maisha yangu ila haikuwa hivyo kwa wakati huo. 

Basi baada ya kama mwaka mmoja na nusu wa mahusiano yetu, siku moja nilishika simu yake yeye akiwa bafuni anaoga, nilishtuka nilipokuta kuna mwanamke anawasiliana naye. 

Huyo mwanamke alikuwa amemtumia picha za mtoto na kuandika maneno hayo; mwangalie mtoto wako anazidi kukua, sema tu tunakumisi mume wangu. 

Nilichukua namba ya yule mwanamke na kwenda kuwasiliana naye, kweli alinieleza yeye ameolewa na huyo mpenzi wangu, basi mpenzi wangu alipojua nimewasiliana na mke wake aliniambia tuachane. 

Kipindi hicho niliishi nikiwa na msongo wa mawazo sana, niliingia mtandaoni kusoma namna ya kuondokana na msongo wa mawazo utokanao na mapenzi maana hali ile iliniumiza sana. 

Katika mitandao nilikutana na ushuhuda wa dada mmoja ambaye alielezea jinsi ambavyo Dr Bokko alimsaidia kumpata mpenzi wa ndoto zake baada ya kuumizwa na wanaume wengi kwa muda mrefu. 

Nilichukua namba zake +255618536050 na kumpigia, niliwasiliana naye na kumwambia namtaka mwanaume wa kwangu pekee yangu, kwani nataka nitakapomaliza Chuo nisikae muda mrefu bila kuolewa. 

Dr Bokko aliniambia nisijali kwani ameshawasaidia wanawake wengi kama mimi na kupata wanaume wa ndoto zao, alinifanyia matambiko ya kuwa na mvuto wa kimepenzi na kunihakikishia kuwa naenda kufanikiwa.

Haikuisha wiki moja, wanafunzi wa chuo kingine walikuja chuoni kwetu kwa ajili ya mdahalo, siku hiyo ndipo nilikutana na mwanaume wa ndoto zangu.

Anaitwa David kutoka Meru, siku hiyo baada ya mdahalo tulibadilishana namba za simu, usiku wake tuliweza kuongea kwa kiasi chake. 

Katika mahusiano yetu, David alikuwa ananitoa out kila wikiendi na kunipa zawadi, yeye alimaliza Chuo kabla yangu, kwa bahati nzuri alipata kazi hapa Dodoma.

Mara kwa mara nikiwa na nafasi nilikuwa naenda kumtembelea nyumbani kwake na tunapanga mipango ya maisha yetu ya baadaye. 

Nilipomaliza chuo mara moja alienda kujitambulisha nyumbani kwetu, vizuri zaidi aliniunganishia kazi ofisini kwao, hivyo tukaanza kwenda kazi pamoja.

Haikuisha miezi sita akanitolea mahari, mimi na David tulifunga ndoa ya kifahari jijini Dar es Salaam, wafanyakazi wenzetu walikuja na kutuzawadia kiwanja na gari. 

Sasa ni takribani miaka sita ndani ya ndoa, tumejaliwa kupata watoto wawili wa kiume, kila siku David anazidi kunipenda, kizuri zaidi anawapenda sana wazazi wangu. Tumefanikiwa na kufungua biashara ambayo ni mdogo wangu wa kike anaisimamia.

Mwisho. 


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad