“Suala la akina mama [wajawazito] na mambo mengine ya dharura tunatoa maelekezo mahususi kwa hospitali binafsi lakini pia za umma kwamba, mama na mtu yeyote wa dharura akija ni lazima kwanza apate huduma sio suala la kuulizwa fedha au kufanya nini, huduma kwanza fedha baadaye.” – Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya
Serikali: Mgonjwa wa Dharura Apewe Huduma Kwanza Pesa Baadae
0
January 31, 2025
Tags