Simba [Tanzania] na Stellenbosch [Afrika Kusini] ndio timu pekee ambazo zimefuzu hatua ya robo fainali ya kombe la shirikisho Barani Afrika kutoka ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Timu moja [1] imetoka Afrika Magharibi [Asec Mimosas ya Ivory Coast], na zingine tano [5] zimetoka ukanda wa Afrika Kaskazini.