Simba Watinga Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika




Simba imekata tiketi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika baada ya kutoa sare 1-1 hii leo dhidi ya FC Bravos.

Hii sio ya kushangaza kwa Simba kufuzu hatua hii. Imekuwa ni mazoea kwao.Kitu pekee ambacho Simba wanahamu ya kukiona ni kufuzu hatua ya nusu fainali.

Ingizo la Debora Fernandes na Ladack Chasambi uliongeza uhai mkubwa sana kwa Simba kwenye kipindi cha pili hadi ikapelekea kupatikana kwa goli la kusawazisha la Ateba.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad