Simba Watoa Ofa Hii Kubwa Kwa Fei Toto, Changamoto Mzee Bakhresa

 

Simba Watoa Ofa Hii Kubwa Kwa Fei Toto, Changamoto Mzee Bakhresa

Transfer News Live✍️

Fei toto ana ofa ya Tsh 600m (sign on fee) na mkataba wa miaka mitatu kutoka Simba.

Simba wako tayari kulipa hiyo pesa kwa mafungu matatu,yani kila mwaka 200m.

Fei Toto yuko tayari kucheza Simba kwani anaamini ni BIG STEP kwake.

Changamoto iliyokuwepo ni kumshawishi Mzee Bakhresa.

Tayari Simba wanatumia baadhi ya watu wakubwa kutoka serikalini ili kumshawishi mzee.

Pia Simba wako tayari kutoa kiasi cha pesa na Aishi Manula ila mzee akubali kumuachia Fei Toto.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad