Timu ya Waydad Casablanca Bado Wanamtaka Clement Mzize, Bilioni Mbili Mezani


Timu ya Waydad Casablanca Bado Wanamtaka Clement Mzize, Bilioni Mbili Mezani


"Klabu ya Wydad Casablanca imetenga kiasi cha fedha 831,082 US Dollar sawa na kiasi cha Billioni mbili za kitanzania kwaajili ya kunasa saini ya mchezaji Clement Mzize ifikapo dirisha kubwa la usajili."

.

"Hapo awali klabu ya Wydad Casablanca ilihitaji sana huduma ya nyota huyo anaeichezea klabu ya Young Africans Sc lakini viongozi walitupilia mbali barua yao ya kumsajili Clement Mzize."

.

"Klabu ya Wydad Casablanca imekubwa na tatizo la kupata mshambuliaji wa kati (CF) ambae ni mzuri kumalizia mipira ya mwisho na ukosefu wa mchezaji kama mzize unapelekea Wydad Casablanca kupata matokeo finyu kwenye mechi zake au kupoteza kabisa."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad