Tundu Lissu Ahoji "Mzee Slaa ni Tishio Kiasi Gani"


Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar Es Salaam kuagiza shauri la mwanasiasa Mkongwe Nchini Dkt Wilbroad Slaa lirejeshwe katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya maamuzi ikiwemo kushughulikiwa kwa dhamana yake kwa haraka.

Wakili wa Dkt. Wilbroad Slaa Tundu Lissu amelalamikia kushikiliwa kwa mteja wake huyo ambaye ana umri wa miaka 76 bila kupewa dhamana huku akieleza kuwa ni uonevu.

“inawezekanaje kumuweka ndani muda wote huu Mzee wa miaka 76 huyu mzee slaa alivyo tu ni tishio kiasi gani kama sio kukandamiza watu bure” amesema Lissu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad