Vita ya Tundu Lissu na Mbowe Kuisha Leo, Mmoja Kuwa Mwenyekiti Mmoja Kwenda Nyumbani

Vita ya Tundu Lissu na Mbowe Kuisha Leo, Mmoja Kuwa Mwenyekiti Mmoja Kwenda Nyumbani


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Januari 21, 2025 kinatarajiwa kufanya uchaguzi wa viongozi mbalimbali ndani ya chama hicho.

Macho na masikio ya wengi ni katika nafasi ya Uenyekiti wa Chama ngazi ya Taifa ambayo inapambaniwa na miamba wawili wa chama hicho, Freeman Mbowe na Tundu Lissu sambamba na Odero Charles.

Global TV itakuletea matukio yote mbashara, hakikisha unakuwa karibu na mitandao yetu ya kijamii kwa matukio yanayoendelea kutokea Mlimani City, Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad