Vurugu Zaiponza SIMBA Mechi Moja Watacheza Bila Mashabiki

Vurugu Zaiponza SIMBA Mechi Moja Watacheza Bila Mashabiki


Klabu ya Simba Imethibitisha kufungiwa kucheza mechi moja bila mashabiki na imetoza faini ya dollars Elfu 40 ambazo ni sawa na zaidi ya shilingi millioni 96 na imetakiwa zilipwe ndani ya siku 60.

Adhabu hii ya shirikisho la soka Afrika CAF imekuja baada ya vurugu zilizotokea Benjamin Mkapa kwenye mchezo dhidi ya CS Sfaxien .

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad