Wachezaji watatu wa Singida Black Stars wamebadili uraia na kuwa watanzania.
Emmanuel Keyekeh, umri mika 27 kutoka Nchini Ghana.
Arthur Bada, Umri miaka 22 kutoka Nchini Ivory Coast.
Damaro Camara umri miaka 21 kutoka Nchini Guinea.
Nani unatamani kumuona akicheza Taifa Stars.