Wakili Jebra "Watu Wengi Wanavutiwa na Siasa za Tundu Lissu"


Wakili Jebra "Watu Wengi Wanavutiwa na Siasa za Tundu Lissu"

Wakili Jebra "Watu Wengi Wanavutiwa na Siasa za Tundu Lissu"

"Uchaguzi wa CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz) unakuwa na mvuto zaidi kwa sababu ndio chama pekee hapa nchini kilichobeba mabadiliko ya Watanzania, na lazima tutambue kwamba Watanzania wanahitaji mabadiliko, kwa hiyo tumaini lao la mabadiliko ya kweli liko CHADEMA, na ifahamike kuwa sio jambo la kukwepesha mambo kwenye hilo, kwa hiyo uchaguzi umekuwa na mvuto zaidi, na pia kumekuwa na mvuto zaidi ni aina ya siasa za wagombea wenyewe waliojitokeza awamu hii, Tundu Lissu @TunduALissu aina ya siasa yake ambayo watu wanavutiwa nayo kwa hiyo inawafanya watu watamani kujua uchaguzi wa CHADEMA utaishia wapi” -Wakili Jebra


Ni sehemu ya yale aliyoyazungumza Wakili Jebra Kambole @Advocate_Jebra alipofanya mahojiano maalum na Clouds TV @CloudsMediaLive kupitia kipindi cha Clouds 360 mapema leo, Jumatano Januari 08.2025

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad