Wasira Apendekezwa Kumrithi Kinana Makamu Mwenyekiti CCM

Wasira Apendekezwa Kumrithi Kinana Makamu Mwenyekiti CCM


Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Mkutano Mkuu Maalum wa 2025 leo January 18,2025 kimewasilisha ili kupigiwa kura jina la Stephen Wasira kuwa Makamu mwenyekiti wa Chama Bara akichukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye aliomba kupumzika nafasi hiyo mwishoni mwa mwezi July 2024.

Jina la Stephen Wasira lilianza kuteuliwa na kujadiliwa kwenye Kikao cha Kamati Kuu na baadaye kufikishwa katika Halmashauri Kuu ya Chama hicho kabla ya kutangazwa kwenye Mkutano Mkuu ambapo wajumbe watalipigia kura jina hilo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad