Wenje Afunguka "Wapambe Wanaowagombanisha Mbowe na Tundu Lissu"

Wenje Afunguka "Wapambe Wanaowagombanisha Mbowe na Tundu Lissu"

"Lissu hawezi akamtukana Mbowe kweye mtandao na wala Mbowe hawezi kufanya hivyo. Waaoleta shida ni wapambe wa Mbowe, wapambe wa Lissu, ndiyo wanaoleta shida. Hautasikia Mbowe anamtukana Lissu wala Lissu anamtukana Mbowe, shida ni wapambe wa wote hao"- Wenje.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad