Klabu ya 🇪🇬Al Ahly inaongozwa kwa kucheza michezo mingi mwaka 2024 na kupata ushindi. Klabu hiyo imecheza michezo 40 na inafuatiwa na Yanga iliyocheza michezo 38.
Orodha kamili;
Al Ahly [40]
Yanga [38]
RS Berkane [33] Pyramids [33], Simba [32], Mamelodi Sundowns [32], Raja Casablanca [30], AS FAR [29], Orlando Pirates [28], Azam fc [27], USM Algers [27], Zamalek [27], Petro De Luanda [26].