Yanga ni Bora Kuliko Simba Barani Afrika Kwa Mujibu wa IFFHS

Yanga


Kwa mujibu wa Shirika la Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu Duniani (IFFHS) limeitaja klabu ya Yanga kuwa ipo nafasi ya nane [9] kwenye ubora wa klabu Barani Afrika kwa takwimu za kuanzia Mwezi January 2024 hadi Desemba 2024.

Simba ipo nafasi ya 15 kwa ubora.Tanzania ikiwa imeingiza klabu mbili pekee kwenye klabu 30 bora ambazo zinaongozwa na Al Ahly [1], Zamalek [2] na Pyramids [3].

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad