Wawakilishi hao wa Tanzania kwenye CAFCL wamefikisha pointi nne baada ya mechi nne na kukwea mpaka nafasi ya tatu kwenye Kundi A wakiwa pointi sawa na MC Alger waliopo nafasi ya pili.
FT: Yanga Sc 🇹🇿 3-1 🇨🇩 TP Mazembe
⚽ 32’ Mzize
⚽ 56’ Aziz Ki
⚽ 60’ Mzize
⚽ 15’ Faty (P)
MSIMAMO KUNDI A
1. 🇸🇩 Al Hilal—mechi 3—pointi 9
2. 🇩🇿 MC Alger —mechi 3—pointi 4
3. 🇹🇿 Yanga Sc—mechi 4—pointi 4
4. 🇨🇩 TP Mazembe—mechi 4—pointi 2