Mchezo waYanga kufuzu hatua robo fainali umebaki kwenye miguu yao kwenye dimba la Benjamin Mkapa dhidi ya 🇩🇿MC Algers.
Alama tatu muhimu mbele ya Al Hilal ya Frolent Ibenge.
Yanga imevunja uteja kwa Al Hilal imeshinda mechi ya kwanza mbele ya Al Hilal katika michezo minne ambayo timu hizi zimekutana.
FT:AL HILAL 0-1YANGA