Klabu ya Yanga imebadilisha utaratibu wa wachezaji kuingia kambini baada ya kutolewa kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika naMC Algers.
Yanga ilikuwa na utaratibu kwa wachezaji wake kukutana siku chache kabla ya mchezo wakitokea majumbani kwao na sasa watakuwa wakikaa kambini kwa muda wote.
11m