Zanzibar Heroes Wamefanikiwa Kuibuka Mabingwa Mapinduzi CUP




Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar heroes wamefanikiwa kuibuka Mabingwa wa michuano ya Mapinduzi Cup mwaka 2025 baada ya kuifunga timu ya Taifa ya Burkina Faso bao 2-1.

Zanzibar walikuwa wa kwanza kupata bao kabla ya baadaye Burkinafaso kurudi mchezoni kupitia Traore na kisha dakika za majeruhi Zanzibar waliandika bao la ushindi na kumaliza mchezo Kwa ushindi na hatimaye kutawazwa Mabingwa wa michuano hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad