Mambo yanazidi kuwa mazito! nyota wa muziki wa bongofleva @officialzuchu baada ya kuondoa utambulisho unaoonyesha ni msanii wa @wcb_wasafi amemu-unfollow boss wa record label hiyo @diamondplatnumz pamoja na page rasmi ya label hiyo ya @wcb_wasafi.
@officialzuchu pia amezi-unfollow page zote za wasafi media,ni kufuatia Sakata lake na mtangazaji wa kipindi cha mashamsham cha Wasafi FM ambaye alitumia media ya Wasafi inayomilikiwa na @diamondplatnumz kuongea kauli anbazo Zuchu anaona ni za unyanyasaji juu yake na uongozi wa media hiyo ukiongozwa na Diamond kutofanya chochote.