"Kwa sasa Jean Charles ni kiungo mzuri mshambuliaji kuliko Clatous Chota Chama lakini kwa miaka miwili iliopita Chama alikuwa bora na hatari kuliko Jean Charles na hii inadhihirisha kwamba zama za Chama zimeisha"
.
"Jean Charles kafunga magoli 10 na Assist 5, kwa msimu huu kahusika kwenye magoli 15 na bado michezo 11 kumaliza msimu huu"
.
Anasema: Alex Ngereza