Nitashangaa sana kama Yanga watakuwa mabingwa msimu huu na kama watakuwa mabingwa msimu huu basi ujue ligi yetu ni ligi dhaifu sana kwasababu wamekuwa na ups and down nyingi, wanacheza vibaya sana msimu huu na bado wamebadilisha makocha mara tatu ndani ya msimu mmoja na hizi ni sababu ambazo zinaweza kusababisha timu kupoteza ubingwa kama timu zingine zitakuwa zimeimarika vizuri ,honestly Nitashangaa sana kama watachukua taji mbele ya Simba na Azamfc"
.
Amesema; Alex Ngereza