Alex Ngereza "Sijaenda Wachezaji wa Yanga Kuchangiwa Hela na Mashabiki


"Hili suala la mashabiki kuchangia wachezaji mimi binafsi sijalipenda, mchezaji anatakiwa kupokea mshahara na bonus kutoka kwenye club yake na sio kutoka kwa mashabiki, Yanga bado ni timu masikini,hizi fedha ambazo wanahamasisha mashabiki wazitoe kwa wachezaji wangezitengenezea mfumo mzuri zikaingia kwenye timu ili kusaidia kuendesha shuhuli mbalimbali za club na sio kuwapa wachezaji ambao wanakuja na kuondoka".

Mchambuzi wa soka Alex Ngereza kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍️

Una mtazamo gani maoni ya Chambuzi la Soka Alex Ngereza..? Weka maoni yako

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad