Ali Kamwe Afunguka Kuhusu Msimamo wa Ligi, Baada ya Yanga Kuvutwa Shati na JKT

Ali Kamwe Afunguka Kuhusu Msimamo wa Ligi, Baada ya Yanga Kuvutwa Shati na JKT



Ali Kamwe amevunja ukimya wake kuhusu msimamo wa Ligi Kuu NBC Tanzania bara. Kulingana na taarifa tulizozipata hivi sasa mechi ya Young Africans dhidi ya JKT Tanzania ilikamilika kwa sare ya 0-0. KenGold FC pia walikutana na Fountain Gate. KenGold FC ilipata ushindi mkubwa wa mabao 2-0. Kinondoni MC ilipokea ushindi wa 2-0 dhidi ya Singida BS leo.

Baada ya Mechi ya Ligi Kuu NBC Tanzania bara kutamatika kwa suluhu bila kufungana kati ya klabu ya JKT Tanzania na Yanga SC, mtani wa Yanga SC, Simba SC ametuma ujumbe kwa hasimu wake wa muda mrefu kuwa amefurahishwa na matokeo waliyoyapata.

Young Africans wapo kwenye nafasi ya kwanza kwenye Msimamo wa Ligi Kuu NBC Tanzania bara, Yanga SC wapo na pointi 46. Simba SC wapo kwenye nafasi ya pili wakiwa na pointi 44.



Ali Kamwe amesema kuwa licha ya matokeo hayo ya leo, bado mapambano yanaendelea.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad