PRINCE DUBE..👊🏼 Leo Kaweka Goli 1️⃣, Katoa Asist 3️⃣ Na kasababisha Penalti Moja.
Takwimu zake Mpaka sasa kwenye Ligi Kuu, Amefunga Goli 8️⃣, Katoa Asisti 7️⃣ .. Jumla amehusika kwenye MAGOLI 15 yaliyofungwa na @yangasc Msimu Huu.
Narudia kuwaomba Tena Wananchi… Tunae Straika Bora kabisa Afrika Mashariki na Kati kwenye Kikosi
Kitu Pekee anachohitaji ni CONFIDENCE TU.
Wapinzani wetu wanajua Ubora wake, Wanafanya Kila Hila kuhakikisha wanatuma watu hadi kumuandika Vibaya ili kushusha Confidence Yake
DUBE anatuhitaji Sisi kupambana Vita Yake nje ya Uwanja Ili na Yeye aipambanie Furaha Yetu Kiwanjani👊🏼
MWANA MFALME👑