Ali Kamwe: Kuna Baadhi ya Michezo Ichunguzwe




Afisa habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ali Kamwe amezitaka mamlaka zinazoshughulikia Ligi kuu Tanzania Bara kufanya uchunguzi kwa baadhi ya michezo.

"Sio mara ya kwanza, ni mechi ya 10 mfululizo kila mechi kuna timu inajadiliwa kuhusu kupata magoli ya offside na penalty za mchongo."

"Wenye mamlaka tunahitaji kusikia sauti zenu juu ya hiii kinachoendelea.Haiwezekani timu moja tu iwe na matukio ya utata kwenye mechi zaidi ya 10."

- Ali Shabani Kamwe, Afisa habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad